Musir Brain Graphicss

Musir Brain Graphicss Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Musir Brain Graphicss, Graphic designer, Tabata.

07/04/2022
02/04/2022

Nimejifunza jambo kubwa kwenye maisha, ukidhalilishwa usigadhibike, ukitengenezewa fitina usichukie, ukiwekewa ukuta usiuvunje kupita, ukitengenezewa majungu umia lakini jikaze... Mwenyezi Mungu ana namna zake za kukufariji na ana namna zake za kuwaadhibu waumizaji. SUBRA NI SILAHA KUBWA ✍️ Cc:

Tarehe 1 April, ni siku ambayo kwa wengi ni siku ya Wajinga Duniani; lakini kwa Steve Jobs, Steve Wozniak na Ronald Wayn...
01/04/2022

Tarehe 1 April, ni siku ambayo kwa wengi ni siku ya Wajinga Duniani; lakini kwa Steve Jobs, Steve Wozniak na Ronald Wayne ilikuwa sio siku ya utani.

April 1 mwaka 1976 ilionekana ni siku ya utani lakini Apple Computer Inc ilikuwa serious na mpango wake.

Ni siku ambayo kampuni ya Apple Computer Inc. ilianza rasmi. Siku hiyo Apple ilitoa bidhaa yake ya kwanza - Apple 1 ambayo ilikuwa ni komputer ya kwanza ya Apple. Ilikuwa ni kompyuta ndogo kuliko zote kwa kipindi cha mwaka 1976.

𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗲𝘀𝘁𝗶𝗻𝗴 𝗶𝗻𝗳𝗼𝘀 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲

✺ Ilianzishwa na Steve Jobs, Steve Wozniak na Ronald Wayne; baada ya siku 12 za kuanzisha kampuni; Ronald Wayne aliiacha Apple na kuuza Hisa zake ambazo zilikuwa ni 10% ya share ya Apple kwa Dola 800$. Leo hii thamani ya hizo hisa ni dola Bilioni 60 sawa na Trilioni 139.

✺ Apple ina pesa zaidi ya mara mbili ya pesa zilizopo katika US Treasury.

✺ Logo ya Kwanza ya Apple ilikuwa na picha ya Sir Isaac Newton

✺ Mtaji wa pesa iliyotumika kuanzisha kampuni ya Apple ulitoka katika faida ya kuuza Scientific Calculators katika biashara ya Steve Wozniak

✺ Ofisi ya Kwanza ya Apple ilikuwa ni sehemu ya Garage.

✺ Apple ingekuwa ni nchi, ingekuwa nchi ya 27 kwa utajiri duniani.

✺ Apple imekuwa kampuni ya kwanza duniani kufika thamani ya Dolar Trilioni.

25/03/2022

Address

Tabata

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Musir Brain Graphicss posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share