2Az Marketing Solutions

Call Directions Website

2Az Marketing Solutions Helping businesses grow through smart digital marketing, branding, and content strategies. Web: www.2azmarketing.com

We turn ideas into strong online brands that attract customers and increase sales.

15/10/2026

JIFUNZE AI, BORESHA UJUZI WAKO WA DIGITAL MARKETING!

Je, uko tayari kujifunza namna ya kutumia Artificial Intelligence (AI) katika Digital Marketing na kukuza biashara yako?

πŸ“˜ Tunautambulisha mradi wa UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS, ulioandaliwa na 2Az Marketing Solutions kwa ajili ya digital marketers, wajasiriamali na watu wanaopenda teknolojia.

Kupitia mradi huu, tunahamasisha matumizi ya AI katika:

βœ… Utengenezaji wa maudhui ya kidijitali
βœ… Uandaaji wa mawazo na maandishi ya matangazo
βœ… Utengenezaji wa picha na video kwa kutumia AI
βœ… Kuboresha kazi za Digital Marketing
βœ… Kukuza biashara kwa kutumia teknolojia

🎬 UZINDUZI RASMI ULIFANYIKA TAREHE 20 SEPTEMBA 2026.

Sasa tunakualika kutazama video yetu ya YouTube ili kufahamu zaidi kuhusu kitabu na mafunzo haya.

▢️ Tazama video kupitia link iliyo kwenye BIO yetu!

πŸ“² Unahitaji taarifa kuhusu kitabu au mafunzo? Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0786 909 945
au tembelea website 2azmarketing.

2Az Marketing Solutions
Marketing from A to Z for Real Results.

ContentCreation BiasharaTanzania 2AzMarketingSolutions

JIFUNZE AI KWA AJILI YA DIGITAL MARKETING NA BIASHARA YAKO!Je, unajua namna Artificial Intelligence (AI) inavyoweza kuku...
15/10/2026

JIFUNZE AI KWA AJILI YA DIGITAL MARKETING NA BIASHARA YAKO!

Je, unajua namna Artificial Intelligence (AI) inavyoweza kukusaidia kuboresha kazi zako za Digital Marketing?

πŸ“˜ Tazama video ya Uzinduzi wa kitabu na mafunzo ya UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS, yaliyoandaliwa na 2Az Marketing Solutions.

Katika video hii, tunautambulisha mradi unaolenga kuwasaidia digital marketers na wajasiriamali kujifunza matumizi ya AI katika:

βœ… Utengenezaji wa maudhui ya kidijitali
βœ… Uandaaji wa mawazo na matangazo
βœ… Utengenezaji wa picha na video kwa kutumia AI
βœ… Kuboresha kazi za Digital Marketing
βœ… Kutumia AI katika kukuza biashara

πŸ“Ί Tazama video kamili kwenye YouTube!

πŸ‘‰ https://youtu.be/-IKUiPdN19A

Usitazame tu mabadiliko ya teknolojia, bali jifunze namna ya kuitumia!

2Az Marketing Solutions
Marketing from A to Z for Real Results.

MIONGONI MWA KAZI ZETU 02Biashara Yako Inastahili Kutangazwa kwa Ubunifu! Huu ni mfano wa kazi za 2Az Marketing Solution...
13/10/2026

MIONGONI MWA KAZI ZETU 02

Biashara Yako Inastahili Kutangazwa kwa Ubunifu!

Huu ni mfano wa kazi za 2Az Marketing Solutions!

Tunasaidia biashara na wajasiriamali kuwasilisha bidhaa na huduma zao kupitia maudhui ya kidijitali yenye ubunifu na mvuto.

🎬 Video za matangazo
🎨 Ubunifu wa maudhui
πŸ“± Masoko kupitia mitandao ya kijamii
πŸ“ˆ Matangazo ya kidijitali

Biashara yako inaweza kuwa mradi wetu unaofuata!

Wasiliana nasi WhatsApp: 0786909945

2Az Marketing Solutions
Masoko kutoka A hadi Z kwa Matokeo Halisi.

Watch, follow, and discover more trending content.

13/10/2026

MIONGONI MWA KAZI ZETU 03

Au tembelea website yetu 2azmarketing

2Az Marketing Solutions
Masoko kutoka A hadi Z kwa Matokeo Halisi.

Wajasiriamali

MIONGONI MWA KAZI ZETU 01Biashara Yako Inastahili Kutangazwa kwa Ubunifu! Huu ni mfano wa kazi za 2Az Marketing Solution...
13/10/2026

MIONGONI MWA KAZI ZETU 01

Biashara Yako Inastahili Kutangazwa kwa Ubunifu!

Huu ni mfano wa kazi za 2Az Marketing Solutions!

Tunasaidia biashara na wajasiriamali kuwasilisha bidhaa na huduma zao kupitia maudhui ya kidijitali yenye ubunifu na mvuto.

🎬 Video za matangazo
🎨 Ubunifu wa maudhui
πŸ“± Masoko kupitia mitandao ya kijamii
πŸ“ˆ Matangazo ya kidijitali

Biashara yako inaweza kuwa mradi wetu unaofuata!

Wasiliana nasi WhatsApp: 0786909945

2Az Marketing Solutions
Masoko kutoka A hadi Z kwa Matokeo Halisi.

Watch, follow, and discover more trending content.

13/10/2026

MIONGONI MWA KAZI ZETU 02

Biashara Yako Inastahili Kutangazwa kwa Ubunifu!

Huu ni mfano wa kazi za 2Az Marketing Solutions!

Tunasaidia biashara na wajasiriamali kuwasilisha bidhaa na huduma zao kupitia maudhui ya kidijitali yenye ubunifu na mvuto.

🎬 Video za matangazo
🎨 Ubunifu wa maudhui
πŸ“± Masoko kupitia mitandao ya kijamii
πŸ“ˆ Matangazo ya kidijitali

Biashara yako inaweza kuwa mradi wetu unaofuata!

Tupigie simu au WhatsApp 0786909945
Au tembelea website 2azmarketing

30/09/2026

BADO UNATUMIA MUDA MWINGI KUANDAA CONTENT, ADS, POSTERS, VIDEOS NA REPORTS?

AI inaweza kukusaidia kufanya kazi hizi kwa haraka, kwa ubunifu zaidi na kwa gharama nafuu.

πŸ“˜ Pata kitabu β€œUJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS NA WAJASIRIAMALI” na jifunze jinsi ya kutumia AI katika kazi na biashara yako.

πŸ”₯ OFERTA: TSh 5,000 TU β€” WATU 20 WA KWANZA!

πŸ“² Weka order WhatsApp: 0786 909 945

JIFUNZE AI KWA TSh 5,000 TU!

20/09/2026
πŸ”₯ KESHO NI SIKU YA UZINDUZI! πŸš€β³ BADO SIKU 1 TU!Kesho, Jumapili 20 Septemba 2026 saa 21:00 (EAT), tunazindua rasmi:πŸ€– UJUZ...
19/09/2026

πŸ”₯ KESHO NI SIKU YA UZINDUZI! πŸš€

⏳ BADO SIKU 1 TU!

Kesho, Jumapili 20 Septemba 2026 saa 21:00 (EAT), tunazindua rasmi:

πŸ€– UJUZI WA AI KWA DIGITAL MARKETERS

Ni mwanzo wa safari mpya ya kujifunza namna ya kutumia Artificial Intelligence (AI) kuongeza ubunifu, kuokoa muda na kuboresha kazi za Digital Marketing.

🎯 Katika uzinduzi huu utapata:
βœ… Elimu kuhusu AI na Digital Marketing
βœ… Live AI Demonstration
βœ… Utambulisho wa Kitabu
βœ… Utambulisho wa Kozi
βœ… Maelezo ya Ofa Maalum ya Uzinduzi

πŸ“… JUMAPILI | 20 SEPTEMBA 2026
⏰ SAA 21:00 (EAT)
πŸ’» GOOGLE MEETING

πŸ”₯ KESHO TUENDE PAMOJA HATUA MPYA NA AI!

Usikose tukio hili muhimu. Jiandae kwa uzinduzi! πŸš€πŸ€–
Mawasiliano +255786909945

Address

Tabora Municipality
Dar Es Salaam
45113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 2Az Marketing Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share