Secrety of Love

Secrety of Love KWA NINI TUOGOPE WAKATI TWAPENDA PENZI NI PENZI HATA K**A NI LASIKU MOJA

08/03/2026
21/02/2026

Hiii weekend fanyen yote mazee kuchepuka kupo ila kunamagonjwa mengi aisee watu wanaumwa nyie watu wameoza vibaya mno

11/02/2026

Unaweza ukawa umeumizwa sana huko nyuma lakini nakusihi amini kua siku moja utakutana na mtu sahih kwenye maisha yako atakae kufanya ujiskie vizur na salama bila kuomba

Mpaka siku hiyo ifike chagua kujipenda kujiheshimu na kulinda moyo wako na thamani ya mawili wako🤍

aamini bado kuna upendo wa kweli na ipo siku utapendwa tena

10/02/2026

Mapenzi ya dhati hujengwa juu ya uaminifu, heshima na kujali.
Mpenzi bora haongei tu — huonyesha kwa vitendo upendo wake, uvumilivu na kuwa tayari kukua pamoja na wewe.

👩‍❤️‍💋‍👨
25/01/2026

👩‍❤️‍💋‍👨

Rais wa Jamhuri ya Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akiwa pamoja na wake zake wawili, Marie Khone Faye na Absa Faye. \n\n...
23/01/2026

Rais wa Jamhuri ya Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akiwa pamoja na wake zake wawili, Marie Khone Faye na Absa Faye. \n\nHii ni k**a YAKOBO alivyowaoa wake zake wawili, RAHEL (RECHO) na LEAH.., Hadithi ya YAKOBO na RAHELI kidogo ni ngumu. Je, unaweza kufanya kazi miaka 7 ukweni bila malipo kwa ahadi ya kupewa mke? Halafu miaka 7 inakatika, baba mkwe anasema akupe bintie wa kwanza umuoe kwanza siyo yule wa pili umpendae. Baba mkwe (LABAN) alimueleza YAKOBO kwa taratibu zao, mtoto wa kwanza (LEA) ndiyo anatakiwa kuolewa kwanza. YAKOBO akasema sawa, nipeni huyo, halafu akachukua miaka mingine 7 ya kufanya kazi bila malipo ili kumpata RAHEL. Jumla alifanya kazi ukweni miaka 14 kusubiri akabidhiwe kipenzi chake. Kwa kila mke mmoja, alipewa suria (msaidizi) mmoja. Masuria pia aliwafanya wake zake. Hivyo alikuwa na wake wanne (4) waliomzalia watoto 12 ambayo ndiyo mgawanyo wa makabila 12 ya ISRAELI leo. YAKOBO ni role model wangu. Anyways, hiyo hadithi utaipata katika kitabu cha Mwanzo. Tusome BIBLIA ndugu zangu.

15/12/2025

Kutofautisha kati ya true love na good s*x imekuwa kazi sana kwa vijana wenzangu.

Some men wapo tayari kuoa au kuwa katika mahusiano for the sake of good s*x hatak**a mwanamke ni toxic, wana fore go upendo wa kweli.

Jitambue na ufanye uamuzi sahihi.

04/12/2025

Kukomaa kiakili ni pale unapotambua kwamba hakuna mtu ambaye ni rahisi kuwa naye kweny haya maisha,Sisi sote tuna dosari, makovu, na triggers.Licha ya hayo yote Kilicho muhimu ni kujua ni nani anaendelea kujitolea kukuelewa na anataka kukua na wewe, not just going through the easy part.

03/12/2025

Penda familia yako.

Mpende mke/Mme wako.

Linda heshima ya ndoa yako.

12/10/2025

Ni kweli ana mapungufu kwako,
anakukwaza, hauna furaha.
Unapuuza muda wake, Pesa zake,
Hisia zake, Upendo wake, hata Utamu
wa penzi lake hauuthamini just know ipo siku utamkumbuka

😁😁😁😁
29/09/2025

😁😁😁😁

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Secrety of Love posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Secrety of Love:

Share