23/08/2016
� #�UKUTA� Imara ninaoujua mimi ni mmoja tu Duniani ambao mpaka leo Upo, ni ule wa China (the great wall of China). Hata Ule wa Berlin Ulianguka (the berlin wall Ulianguka). Huu wa bongo sio ni � #�UZIO�, tena wa makuti. Ukiutupia kipisi cha sigara shughuli imeisha. 1-Sep ni siku za � #�MAOMBOLEZI� sio � #�UKOMBOZI�.