swaif_souq_official

swaif_souq_official Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from swaif_souq_official, Marketing Agency, Mwera mtofaani zanzibar, Zanzibar City.
(1)

12/06/2026

Karibu tifa maqullat
Leo biriyani ipo
Weka oda mda huu
Kwa namba 0717 252029
Sema wapi ulipo uletewe ukiweka oda mapema chakula kitakufikia mapema
Tifa maqullat ladha tamu isiokwisha mdomoni

11/06/2026

Musifanye masihara hichi chakula kitamu weka oda mdaa huu zimebaki 3 15,000/=
0717 252029
Free delivery

11/06/2026

TIFA MAQULLAT LEO
TUNA CHAINIS BEI SHILINGI 15,0000/= NA 30,000/รท
WEKA ODA KWA NAMBA 0717 252029

10/06/2026

Assalam alaikum
Tifa maqullat chakula cha leo
Ni chipsi nyama msindiko
Ladha ya nyama hiyo ni tamu mnoo pamoja na chipsi zake.
Ujazo wa kutosha tume updet ujazo
Kwa kuwajali wateja wetu
Bei 20,000/= free delivery.
Weka oda 0717 252029
Ladha tamu isiokwisha mdomoni
Kamwe hautajutia.

07/06/2026

Habari zile pempes bora
hizia hapa Salam pull up
+255777414243

06/06/2026

KWA KAZI K**A HIZI TUONE SWAIF SOUQ
0714 249514

06/06/2026

Weka oda mapema 0717 252029

04/06/2026

Tifa maqullat
Kila siku ya Ijumaa tuna biriyani ya nyama
Nyama za kushiba chakula cha kushiba watu watu hadi wa nne
Chakula kitamu sana weka oda shilingi 30,000/= free delivery
Namba ya kuweka oda 0717 252029
K**a mupo watu kazini hii inafaa changa na mwenzio mule chakul kitamu
Saa baada sala ya ijumaa tunaanza delivery

03/06/2026

Karibu kwenye kipindi changu cha Full packege
Kila siku asubuhi live tiktok
Saa moja kamili.
Utapata kufaidika na vitu vingi
Moja wapo kutangaza hiashara yako bure.
Na kupata taluma mbali mbali.
Kuona miradi ya viwanja vya kula kulipa kidogo kidogo
Kujengewa kwa kulipa kidogo kidogo
Pia lengo la kipndi hiki pia nia kusapoti vinaja wenzangu kuweza kutimiza ndoto zao.
Naomba nisapoti kutimiza ndoto hii kuja live kunanifanya niwe nanguvua ya kufanya bora zaidi pia utaweza kunishari maana hii kitu niyetu sote

02/06/2026

Tifa Maqullat
Siku ya Jumatano na Al khamis
Yani kesho na keshokutwa
Tutakua na Chipsi nyama msindiko
Ni nyama ilioungwa vizuri kwa ustadi mkubwa wa kimapishi na viungo vya kizanzibari na nitamu kuliko
Kwa garama ya shilingi 15,000/= free delivery
Pamja na vikorombwezo vyake.
Weka oda mdaa huu kesho inshaAllah uwe wa mwanzo kuletewa kuanzia sa nane mchachana
0717 252029

Address

Mwera Mtofaani Zanzibar
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when swaif_souq_official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share