Khmyc Joumah

Directions Website Contact the business

Khmyc Joumah Life In Action Infotaiment

10/08/2026
Makgalwa Atambulishwa Rasmi Simba SCKlabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi winga Keletso Makgalwa kuwa sehemu ya kikosi ...
25/07/2026

Makgalwa Atambulishwa Rasmi Simba SC

Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi winga Keletso Makgalwa kuwa sehemu ya kikosi chake kuelekea msimu mpya wa mashindano.
Makgalwa anajiunga na Wekundu wa Msimbazi akitarajiwa kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji kutokana na uwezo wake wa kucheza pembeni, kasi na ubunifu uwanjani.
Utambulisho huo umefanyika kupitia kurasa rasmi za klabu, ambapo picha za mchezaji huyo akiwa amevalia jezi ya Simba zimetolewa ikiwa ni ishara ya kuanza safari yake mpya ndani ya klabu hiyo.
Mashabiki wa Simba wamepokea usajili huo kwa hisia tofauti, huku wengi wakieleza matumaini kuwa Makgalwa atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaoisaidia timu kufikia malengo yake katika mashindano ya ndani na kimataifa.
Simba SC inaendelea kuimarisha kikosi chake katika kipindi hiki cha usajili, ikilenga kujenga timu yenye ushindani mkubwa kwa ajili ya msimu ujao.

23/07/2026

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema uwepo wa mradi wa Mabasi yanayotumia nishati ya Umeme ni suluhisho ya changamoto ya usafiri kwa wananchi wa Zanzibar.

Ameyasema hayo wakati aliposhiriki katika Ufunguzi wa Kituo cha Mabasi Malindi na Uzinduzi wa Huduma za Usafiri wa Umma Unaotumia Mabasi ya Umeme hafla iliyofanyika katika kituo cha Mabasi Malindi ( ZSSF MALINDI TERMINAL ).

Amesema Mabasi hayo ya kisasa yanayotumia nishati ya umeme yatawapunguzia wananchi ghara, kuokoa muda na kuondosha usumbufu wa msongamano wa vyombo vya usafiri ndani ya Mji wa Zanzibar.

Mhe. Hemed ameuagiza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kuendelea kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mabasi hayo ili yaweze kutumika kwa muda mrefu.

TAARIFA
20/07/2026

TAARIFA

11/07/2026

Kauli ya Mazurui baada ya Tamko la Maridhiano ya pamoja kati ya CCM na ACT Wazalendo.

❤️💞❤️

Address

Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khmyc Joumah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Khmyc Joumah:

Shortcuts

Share