ACT-Wazalendo Mkoani

ACT-Wazalendo Mkoani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ACT-Wazalendo Mkoani, Advertising/Marketing, Mtambile, Zanzibar.

ACT-Wazalendo ni Chama cha kitaifa kinachoamini kwenye misingi ya Taifa la wote maslahi ya wote pia kinaamini kwenye Zanzibar moja mpya na yenye mamlaka kamili.

Mwambieni ukweli Bwana Mdogo,Ayoub hajapata kuwa Mratibu wa maswala ya utafiti kwenye Chama cha ACT bali alikua mwanacha...
15/02/2025

Mwambieni ukweli Bwana Mdogo,Ayoub hajapata kuwa Mratibu wa maswala ya utafiti kwenye Chama cha ACT bali alikua mwanachama wa CUF alieamua kumfuata aliekua katibu mkuu wa Chama hicho Hamad Masoud. .

Wenzetu bado wanaendelea na maigizo tunawakumbusha tu Mzee Rashid Salehe (Musobi)  hajapata kuwa mwenyekiti wa ACT Wazal...
15/02/2025

Wenzetu bado wanaendelea na maigizo tunawakumbusha tu Mzee Rashid Salehe (Musobi) hajapata kuwa mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoani,kama anavyodai Mbeto.bali aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wanananchi CUF zaidi ya miaka 15 iliopita nyuma. .

22/01/2025

Kwenye miaka yote ya utawala wake maisha yamekua magumu sana.
Watu tumezidi njaa na hatujui hata kesho tutakula nini!



Baada ya kuwepo kwa kile kilichoonekana hali ya sintofahamu hatimae Naibu katibu mkuu Mstaafu Chama cha ACT Wazalendo Na...
25/07/2024

Baada ya kuwepo kwa kile kilichoonekana hali ya sintofahamu hatimae Naibu katibu mkuu Mstaafu Chama cha ACT Wazalendo Nassor Ahmed Mazrui amevunja ukimya na kufanya mahojiano maalumu.Mahojiano hayo unaweza kuyatazama hapa

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo na Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud anasema Muungano wa Tanganyika ...
06/07/2024

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo na Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud anasema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekua na changamoto nyingi ambazo zinahitaji kufanyiwa marekebisho kuondoa mkanganyiko wa miaka mingi.Itazame video hapa

Asante kwa kutazama Video hii tafadhali Subscribe kuwa wa kwanza kupata taarifa zatu kila wakati.

Karibu kutazama msimu wa pili wa kipindi cha Sauti ya Wazalendo.Tazama kipindi hiki hapa
01/06/2024

Karibu kutazama msimu wa pili wa kipindi cha Sauti ya Wazalendo.Tazama kipindi hiki hapa

Karibu kwenye kipindi maalumu cha Sauti ya Wazalendo na leo tunazungumza na Katibu wa Ngome ya Wanawake Chama cha ACT Wazalendo Bi Fatma Habib Ferej,

14/05/2024

Sasa unaweza kupata taarifa mbali mbali za Chama cha ACT Wazalendo kwa urahisi zaidi kwenye simu yako.

Tufuatilie kwenye channel yetu hapo chini.

Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Mkoani Pemba kinawatakieni nyote kheri na Baraka katika kusherekea sikukuu ya Eid-lfitr.
10/04/2024

Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Mkoani Pemba kinawatakieni nyote kheri na Baraka katika kusherekea sikukuu ya Eid-lfitr.

Taarifa kwa Umma.
21/03/2024

Taarifa kwa Umma.

Taarifa kwa Umma
08/03/2024

Taarifa kwa Umma

Mjumbe wa kikosi kazi Ngome ya wanawake Chama cha ACT-Wazalendo Halima Ibrahim akiongoza wanawawake wa Mkoani kupachika ...
03/02/2024

Mjumbe wa kikosi kazi Ngome ya wanawake Chama cha ACT-Wazalendo Halima Ibrahim akiongoza wanawawake wa Mkoani kupachika bendera mpya katika ofisi ya Mkoa Changaweni.


Address

Mtambile
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ACT-Wazalendo Mkoani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share